Lengo la chama chetu ni kusaidia mayatima maskini walioko Mombasa ; kuwapa msaada utakao wasaidia katika kutafuta ilimu ya dini na dunya.
CHAMA HICHI SI KIKUNDI GENI , WALA SI POTE JIPYA , WALA SI CHAMA CHA UJAMAA WALA UKABILA . MTU YEYOTE ANAYE AMINI , NA KUKUBALI , NA KUFUATA QUR�AN NA SUNNAH ZA MTUME (sallaAllaahu 'alayhi wasallam) KUPITIA UFAHAMU NA MWENENDO WA AS-SALAFU SAALIH (WATU WEMA WALIPOITA) ANAKARIBISHWA.
Barabaque
Rabiul Thaani/ May
Barabaque (Choma choma) ya mwaka huu : Itakuwa Jumapili tarehe 20 Mei , Pale pale Sunnybrook kama mwaka jana. Kwanzia saa saba hivi. InshaAllaah.