Habari Mapya
- Rabiul Thaani/ May
Barabaque (Choma choma) ya mwaka huu : Itakuwa Jumapili tarehe 20 Mei , Pale pale Sunnybrook kama mwaka jana. Kwanzia saa saba hivi. InshaAllaah.
- Rabiul Thaani/ May
Alhamdulillaah : Chama chetu -Jukumuletu- kimekubaliwa na Serikali. Na tumeshaandikishwa kama 'not-for-profit'. Neema zote zatoka kwa Allaah.
- Rabiul Thaani/April
Muhadhara Maalumu : Siku ya Jumamosi tarehe 10 rabiul thaani / 28th April. Shaykh Saaleh as-Saaleh atatuzungumzia kupitia mtandao . Mada itakuwa : "Ndoa na kufuzu katika Ndoa , kupitia Sunnah" . Mhadhara utaanza saa tisa na nusu. InshaAllaah.
- Rabiul Awwal/April
Tunafurahi kuwatangazia kuwa 'huu ni mwaka wa zawaaj' : InshaAllaah , ndugu zetu sita ( 6 ) , watafunga ndoa mwaka huu. Twatakia kila kheri , kwani watakuwa wanakamilisha nusu ya dini. Maelezo Mengine yatafwatia inshaAllaah
- Rabiul Awwal/April
Meeting zitaanza Saa Tisa Na Nusu (3.30) InshaAllaah. Kila Mtu ajitahidi kufika.
- Safar/February
Alhamdulillah : Mayatima wanne (4) , wamekubaliwa katika shule tofauti , na wameshaanza masomo yao ya mwaka huu.
- Muharram/January
UOMBEZI WA USAIDIZI KWA MWAKA 1428 – 2007, UMEFUNGWA. AHSANTA.
Prayer Times

Nyakati Za Swala za Mji wa Toronto : Mwaka wa 1428 / 2007